Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe. Philip Mangula akizungumza na Timu ya Wajumbe Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya waliomtembelea leo ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.
Waangalizi wa Uuchaguzi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakimsikiliza kwa makini Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam.
Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) wakizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe. Philip Mangula ofisini kwake Lumumba jijini Dar es salaam .Kikao hicho pia kilihudhuliwa na Kaimu Mkuu wa Idara Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dkt. Pindi Chana.
 
Timu hiyo ya Waangalizi wa Umoja wa Nchini za Ulaya ilikuwa na ujumbe wa watu watano ambao ni Mhe. Judith Sargetini, Mbunge na Kiongozi Mkuu wa Waangalizi, Ms Tania Marques Naibu Kiongozi wa Waangalizi, Balozi Roeland Van De Geer (Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya), Ms Luana Reale, (Kansela) na Ms Anna Constatini (Mwambata wa Masuala ya Uchaguzi).BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...