Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa
mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi
ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wasomi wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa
mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi
ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS)
uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es
salaam.
Sehemu ya walohudhuria wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa
mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi
ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS)
uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es
salaam.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kufungua
mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi
ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS)
uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es
salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...