Wafuatao ni ndugu zake ambao wanaweza kumtambua Mathayo Batholomeo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Dada yake anaitwa Nasemba Matiku Weisiko. Anaishi Mojohe karibu na kwa mzee Wambura. Mama yao alizaliwa Same, mkoani Kilimanjaro. Mtoto wa dada yake anaitwa Mwita Ibarahimu ana duka eneo la Mtoni Kijichi darajani. Pia, amesema mtoto wa dada yake mwingine anaitwa Marwa Makire au Emanuel Makire anauza samaki katika eneo la Ubungo Gereji. Pia dada yake ni Elizabeth Rhoda, Dynaes Batholomeo. Batholomeo anaishi Kariakoo Msimbazi, karibu na Kituo cha Polisi Msimbazi.
Home
Unlabelled
MSAADA TUTANI: Mathayo Batholomeo Anatafuta Ndugu Zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...