Mhe. Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani akiwa na Bw. Makala Jasper alipotembelea ofisi za Ubalozi.
Bw. Makala Jasper, Mkurugenzi Mwandamizi wa NGO ya Mpingo Conservation & Development Initiative (MCDI) ametunukiwa tuzo ya National Geographic Society/Buffett Award forLeadership in African Conservation.
Rais wa National Geographic Society Bw. Gary E. Knell (kushoto) mara baada ya kumkabidhi Bw. Makala Jasper tuzo. Kulia ni Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na afisa wa taasisi hiyo.
Bw. Makala Jasper akitoa shukurani kwa kupewa tuzo.
Hongera Bwana Jasper kwa kutunikiwa tuzo hii. endeleza kazi nzuri iliyokuwezesha kutambuliwa.
ReplyDelete