Mwanajeshi wa kike wa jeshi la akiba la Marekani mwenye cheo cha Luteni Deshauna Barber (26) amekuwa askari wa kwanza wa nchi hiyo kushiriki nakushinda shindano la ulimbwende la Miss USA 2016 jijini  Las Vegas usiku wa Jumapili iliyopita. 
 Luteni Deshauna Barber akifurahia ushindi wake
 Luteni Deshauna Barber, ambaye pia ni mtaalamu wa  TEKNOHAMA katika Idara ya Biashara na ambaye karibu familia yake yote, ikiwa ni pamoja na baba na mama na dada yake, akiwa haamini kushinda kwake. Akitokea wilaya ya Colombia (Washington DC), chini akishiriki katika vazi la usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...