Ndege aina ya Nuru au (maraub storks) akiwa hewani kuelekea kutua juu ya mti mkavu katika hifadhi ya taifa ya Mikumi. ndege huyu wanapendelea kula mabaki ya chakula cha binadabu pamoja na mifupa ya wanyama kulingana na hilo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ndege hao wanapatikana maeneo ambayo hupatikana vyakula kwaajili ya watalii.
Tofauti kati ya ndege nuru (maraub storks) jike na Dume.
Dume anatumbo nje na dume tumbo lake halionekani nje, Picha ndogo ni ndege nuru (maraub storks) dume na wajuu ni Jike.
Tofauti nyingine ni kati ya Dume na Jike ni rangi mwingine imekoza na nyingine imefifia.
Ndee Nuru (maraub storks) jike akiwa juu ya Mti.
NdegeNuru (maraub storks) jike akitafuta chochote kitu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...