Zaidi ya simu 639,000  hadi sasa zimegundulikwa kuwa ni bandia na TCRA wameanza zoezi  endelevu la  kuzizima moja baada ya ingine usiku huu.Kwa mujibu wa matangazo ya TBC yaliyorushwa live na kuhusisha maofisa wa TCRA wakiwa studio za  TBC  (juu )  na  makao makuu ya TCRA barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es salaam, ilipotimia  saa sita na dakika moja simu hizo laki sita zilikuwa zinaendelea kuzimwa.
Dawati la usiku la Globu ya Jamii linaendelea kufuatilia zoezi hili na litatoa updates kila zitapopatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...