Mama Mpendwa Marehemu Mwanjia Binti Hamisi kyengya
INNA LILLAAH WA INNA ILAIHI RAJUUN

Familia ya Marehemu Mzee Ramadhani Abdallah Kisinzah wa Tabata-Posta wanapenda kuwashukuru ndugu, jamaa na marafiki kwa upendo na ushirikiano waliouonyesha kwa familia tangu wakati wa kumuuguza mpaka kumsindikiza safari ya mwisho hapa duniani siku ya Ijumaa tarehe 13 Mei 2016.

Shukurani maalumu ziwaendee madaktari, wauguzi na wafanyakazi wa Regency na Muhimbili – Kibasila wodi 12, Viongozi na Waumini mbalimbali. 

Mwenyezi mungu awaajalie kila la kheri.

Familia inawakaribisha kwenye arobaini na futari (kufuturisha) inayotarajiwa nyumbani kwa Hamisi Kisinzah Tabata-Posta, siku ya Jumamosi, tarehe 25 Juni, 2016 kuanzia saa kumi za jioni.

“SISI SOTE NI WAJA NA KWAKE TUTAREJEA”,
AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...