Rais Magufuli pamoja na mkuu wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Mh.Jakaya kikwete wakiwasili katika hafla ya kuweka jiwe la msingi chuo kikuu UDSM. https://youtu.be/S8RaCsBXkG0
Shamra shamra zatawala katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam baada ya Rais Magufuli kwenda kuweka jiwe la msingi katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam: https://youtu.be/Vzz-4aHusf8
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam wapiga vigelegele kwa wingi baada ya waziri wa elimu Prof.Ndalichako kutambulishwa chuoni hapo: https://youtu.be/bnz92rpKxpc
Mhe. Ndalichako aelezea kwa undani umuhimu wa ujenzi wa makataba mpya iatakavyoweza kuchangia kuinua ubora wa elimu. https://youtu.be/8eY_VBhzo8I
Hatimaye mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Mhe. Kikwete afunguka mazito katika hafla ya kuzindua maktaba ya kisasa. https://youtu.be/5Tgg93Y0L58
Mhe. Ndalichako aelezea kwa undani umuhimu wa ujenzi wa makataba mpya iatakavyoweza kuchangia kuinua ubora wa elimu. https://youtu.be/SFN5pL2KcDg
Rais Magufuli atoa pongezi za dhati kwa rais Mstaafu Mhe. Kikwete kwa kuratibu mpango wa ujenzi mkubwa wa maktaba ya kisasa. https://youtu.be/jPO_Za-0dHA
Rais Magufuli aipongeza serikali ya watu wa China kwa kuwa rafiki wa kweli wa Tanzania na kufadhiri miradi mbalimbali ya maendeleo. https://youtu.be/0s-nWv2iu-4
Rais Magufuli atia vionjo kwa Prof. Ndalichako huku akizungumzia kwa undani sakata la wanafunzi wa chuo waliosimamishwa masomo. https://youtu.be/P5zXVxvLrC0
Sasa hao waliomaliza chuo kikuu na div IV za form four na wamehitimu kabla hujawa raisi mtawafanyaje? wewe na waziri?
ReplyDeleteNapendekeza wanyanganywe vyeti au vyeti vyao viwe diploma.
Inaonyesha Dr. Magufuli na Dr. Ndalichako wanaserve vizuri profession zao za elimu.
ReplyDelete