Pichani ni baadhi ya mashuhuda wakiliangalia lori lililopoteza muelekea na kugonga kingo za daraja la Nyerere Kigamboni, na kupinduka usiku huu. chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na haijajulikana kama kuna aliepoteza maisha au majeruhi katika ajali hiyo.
Muonekani wa lori hilo baada ya ajali.
Tanzania hatutakaa tuendelee. Tuna madereva wazembe mno, kazi yao ni kuharibu miundo mbinu ya barabara na kugonga alama za barabarani. Hii ina uma sana tena sana. Nani katuloga watanzania? Tunadai maendeleo. Tukifanyiwa tunayaharibu. Ni lini watanzania tutajivunia maendeleo yetu na kuyalinda. Yamkini huyu alikuwa amelewa? Ni nini hii? Nashindwa kuamini.
ReplyDelete