Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akiwa katika moja ya Banda la Mifugo, wakati alipotembelea baadhi ya maeneo katika maonyesho ya Kilimo ya nane nane yanayofanyika mkoani Lindi kitaifa.
Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akiangalia bustani ya mbogamboga katika maonyesho ya Kilimo ya nane nane yanayofanyika mkoani Lindi kitaifa.
Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea moja ya Mabanda katika maonyesho ya Kilimo ya nane nane yanayofanyika mkoani Lindi kitaifa. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...