Maelfu ya Waumini wa madhehebu ya Hare Krishna na wasio waumini wa dini hiyo wakijumuika pamoja kwenye tamasha lijulikanalo kama ‘magari ya kuvutwa’ maarufu ‘Festival of Chariots’ eneo la Kisutu, Dar es Salaam juzi,lengo likiwa ni kumuombea Baraka za Mungu Rais John Pombe Magufuli na watanzania wote ili wadumu katika amani na umoja, sanjari na kuepusha kila dalili mbaya za misukosuko Tamasha hilo la kipekee linaloambatana na maandamano na michezo ya dance pasipo kubagua dini yoyote hufanyika mara moja kwa mwaka duniani kote likiwa na kauli mbiu tofauti.
Home
Unlabelled
TAMASHA LA KIHINDI KUOMBEA TAIFA LA TANZANIA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...