Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kila la heri timu yetu ya Olimpiki ya Tanzania

    ReplyDelete
  2. INASIKITISHA SANA KWA KWELI. WAKATI WENZETU JIRANI WANAPELEKA NDEGE NZIMA YA MASHIRIKI WA OLIMPIC NA KUAGWA NA RAIS WAO WENYE GHAFLA KUBWA SISI TUNAPELEKA SABA TU NA KUAGWA KWENYEWE NDIO HUKU. NA MAANDALIZI YAO NI WAZI SI MAZURI.

    WAZIRI ANAISHIA KUWAAMBI WAOMBE MUNGU. HIVI MUNGU ATAKUSAIDIA KAMA HUKUFANYA MAANDALIZI? HIVI WANAOSHINDA MEDALI KAMA HAWA WAKENYA NI MUNGU ANAWASIKILIZA ZAIDI KULIKO SISI?

    NADHANI MHESHIMIWA RAIS AKIJEUKIA SUALA LA MICHEZO MAMBO YATAFUFUKA MAANA KUNA MAJIPU MENGI KWENYE MICHEZO TANZANIA. HII TIMU INEKWENDA KULETA AIBU TU - NI HERI WASINGWEKWENDA KABISA.

    ReplyDelete
  3. Tunawatakia kila la kheri 'TEAM TANZANIA' mkatuwakilishe vilivyo na kuipeperusha bendera ya nchi yetu ya Tanzania kwa ushindi mkubwa katika fani zote tatu zilizochaguliwa kushiriki katika mashindano hayo ya OLYMPIC ambayo yanatarajiwa kuanza siku chache zilizosalia. Mungu Ibariki Tanzania, wabariki wanamichezo wetu na watanzania wote kwa jumla popote pale walipo duniani. Tuko nyuma yenu tukitarajia ushindi mkubwa na wa kishindo bila kuisahau kauli mbiu yetu ya awamu ya tano ya "HAPA KAZI TU" kwa hiyo mkatudhihirishie kwa vitendo na ufanisi mkubwa katika ulingo huo wa michezo.

    ReplyDelete
  4. Tunawatakia kila la heri timu yeu ya Tanzania. Nawaomba tuwaombee wasafiri salama na Mwenyezi Mungu awape afya njema siku zote watakozukwa Brazil ili waweze kufabya vizuri kadri walivyojiandaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...