![]() |
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiwapungia wananchi wa kijiji cha Majimoto wilayani Mlele kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo leo Agosti 23, 2016. |
Ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele ambalo Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake leo Agosti 23, 2016.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la mto Kavuu wilayani Mlele Agosti 23, 2016.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...