Katibu Mkuu wa Taifa Tanzania Disc Music Associatiaon (TDMA) Bw Asanterabbi Mtaki (kulia) akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na maandalizi ya Tamasha la Salsa in Dar 2016 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi Octoba 1, 2016 katika ukumbi wa Highspirit lounge katika jengo la IT Plaza jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa balozi wa Cuba nchini Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo. Katikati ni DJ Charles Kandulu, kushoto Naibu Makamu Mwenyekiti wa TDMA DJ John Peter Pantalakis
Naibu Makamu Mwenyekiti wa TDMA DJ John Peter Pantalakis (kushoto) na wakionesha CD zenye nyimbo za Salsa na charanga akiwa na DJ Charles Kandulu, leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Taifa Tanzania Disc Music Associatiaon (TDMA) Bw Asanterabbi Mtaki (kulia) akicheza charanga na uongozi wa Tamasha la Salsa in Dar 2016 Dj John Peter Pantalakisa (kushoto) na Dj Ebony Moualim leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka,Glob ya jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...