Kamishna
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha cheo cha
Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon
Matani ambaye alikuwa Nchini Namibia kwa jukumu la kuandaa Pogramu za
Mafunzo ya Uendeshaji wa Magereza wa nchi hiyo kwa muda wa miaka miwili
mfululizo. Hafla hiyo imefanyika leo Septemba 3, 2016 Makao Makuu ya
Magereza, Jijini Dar es Salaam. 
Kamishna
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akimvisha Kofia ya
cheo cha Kamishna Msaidizi wa Magereza, Afisa Mwandamizi wa Magereza,
Gideon Matani. 
Makamishna wa Magereza wakifuatilia zoezi la uvishaji cheo hicho kwa Afisa Mwandamizi wa Magereza, Gideon Matanicha ambaye alikuwa Nchini Namibia kwa jukumu la kuandaa Pogramu za Mafunzo ya Uendeshaji wa Magereza wa nchi hiyo(kushoto) ni Kamishna wa Utawala na Fedha, Gaston Sanga(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Magereza baada ya zoezi la uvishaji Cheo kwa Kamishna Msaidizi wa MagerezaA, Gideon Matani.
(Picha zote na Lucas Mboje wa Magereza).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...