Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi
wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent
wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika
mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa
Kagera.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari
(kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salum Kijuu (kushoto) wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea
matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini
yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini
Bukoba.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari
(kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba
Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo
mjini Bukoba.
Baadhi ya mashine zilizotolewa kwa vijana hao
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...