Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Viongozi katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico akisoma utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Bi.Fatma Gharibu Bilali (kulia) akifafanua vifungu vya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Mshauri wa Rais ushikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (katikati) wakati akichangia katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico,
Mkurugenzi wa Ajira Ameir Ali Ameir katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto akielezea mifumo na utaratibu wa Ajira wakati katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...