Balozi wa India
Nchini, Sandeep Arya (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) mara baada ya kuwasili ofisini kwake.
Lengo la ziara ya balozi huyo lilikuwa ni kuelezea nia ya serikali ya India
katika uwekezaji kwenye sekta ya gesi nchini.
Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongoza kikao na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya
pamoja na watendaji kutoka Wizara ya
Nishati na Madini, Shirika la Umeme
Nchini (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya
Petroli Nchini (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Nchini(EWURA) na Mamlaka
ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA).
Waziri wa Nishati na
Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
wa India Nchini, Sandeep Arya (kushoto)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...