Ni miaka minne toka tumpoteze baba yetu mpendwa Mhe.
Jackson Mvangilwa Makwetta, Leo tunakukumbuka ukiwa Baba kwa
kutufundisha mengi yaliyo Mema Duniani.
Pia ulikuwa ni kiongozi wa muda mrefu katika nchi yetu na ulie
pendwa na wengi kutokana na Uwazi, Ukweli,Uwajibikaji, hekima juhudi katika kazi ukiwa katika wizara tofauti ulizohudumu ikiwamo Elimu, kilimo,Nishati na Madini,Mawasiliano,Ulinzi na Utumishi.
pendwa na wengi kutokana na Uwazi, Ukweli,Uwajibikaji, hekima juhudi katika kazi ukiwa katika wizara tofauti ulizohudumu ikiwamo Elimu, kilimo,Nishati na Madini,Mawasiliano,Ulinzi na Utumishi.
Watoto wako na watanzania bado tunadhamini mchango wako na tutakukumbuka daima.
Upumzike kwa Amani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...