Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani
Shutashuta,Saidi Bakari wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha
Umwagiliaji eneo la Golani Shutashuta Kata ya Pande Jijini Tanga jana
wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea kuona namna wanavyotekeleza
majukumu yao na changamoto ambazo zinawakabili
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikangalia naamna mradi huo
unavyopandwa.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa
kilimo cha Umwagiliaji wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini
Tanga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...