Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akiongea jambo na mmoja wa
washindi kati ya 100 waliojishindia
kitita cha shilingi Milioni 1/-na 182 waliojishindia shilingi laki 1 kila mmoja
kupitia droo ya Promosheni ya”Nogesha
Upendo” leo jijini Dar es Salaam inayowawesha wateja wa kampuni hiyo
kujishindia muda wa maongezi,Vifurushi vya intaneti pamoja na fedha taslimu pindi wakijiunga na kifurushi
chochote cha mtandao huo ,Anayeshuhudia ni Mosi Nasoro.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania,Mosi Nasoro(kulia)akimshuhudia Meneja Uhusiano wa kampuni
hiyo,Matina Nkurlu akiwaonyesha namba ya simu ya mmoja wa washindi kati ya 100 waliojishindia kitita cha shilingi
Milioni 1/-na 182 waliojishindia shilingi laki 1 kila mmoja kupitia droo ya Promosheni ya”Nogesha Upendo”inayoendeshwa
na kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam inayowawesha wateja wake kujishindia
muda wa maongezi,Vifurushi vya intaneti pamoja na fedha taslimu pindi wakijiunga na kifurushi
chochote cha mtandao huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...