Kaimu Mkurugenzi wa DCB, Steven Dede akizungumza na waandishi wa habari mwishoni wa wiki hii wakati wa droo ya promosheni ya Boresha maisha na DCB mwishoni mwa wiki hii, kulia ni Mkuu wa uendeshaji wa matawi wa DCB Haika Machaku.
Kaimu Mkurugenzi wa DCB, Steven Dede akiwa anabonyeza kuanza kwa droo hiyo akishuhudiwa na mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha (Bahati Nasibu) Bakari Maggid (kushoto).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...