Mcheza soka
mkongwe Juma Pondamali “Mensah” ambeye kwa sasa ni kocha
wa makipa wa Yanga amefunguka mbelea ya Super News Tv Online na kumtaja kocha
ambaye alimkuza kisoka toka akiwa mdogo yaani umri wa miaka 13-14.
Juma
Pondamali alikuwa ni golikipa hodari aliye fanikiwa kuiwakilisha Tanzania miaka
ya 1980 katika michuano ya “African Cup of Nation”.
Tumia dakika
zako kadhaa kuitaza hii video ili ujue mengi kuhusu Nyota huyo. Endelea kutufuatilia hapa soon tutakuletea
Taarifa yake mpya ya kuachia wimbo wake wa singeli…..
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...