Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin
Kamuzora akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na
Usimamizi wa Mazingira (NEMC) mara baada ya kutemebelea Ofisi za Taasisi hiyo
zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
NEMC ni Taasisi iliyopo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais.
Katibu Mkuu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.
Faustin Kamuzora (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la
Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Bw.
Bonaventure Baya (Kushoto) mara baada ya kuetembelea Ofisi za Baraza hilo
zilizopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni sehemu ya
wajumbe wa Menejimenti katika Ofisi hiyo.
Katibu Mkuu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.
Faustin Kamuzora (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa
la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Bw.
Bonaventure Baya na Bi. Magdalena Mtenga Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa
Rais.
Picha zote na SIGLINDA CHIPUNGAUPI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...