Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
George Simbachawene akizindua kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji wa
Sera za Huduma kwa watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa leo
jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay,
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando, Naibu Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na
Msaidizi wa Waziri wa Nchi TAMISEMI Bi.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Theresia Mmbando akimkabidhi
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kitabu cha Mwongozo wa Taifa wa Utekelezaji
wa Sera za Huduma kwa Watoto waliokatika mazingira hatarishi kwa Serikali za Mitaa
leo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene na Naibu
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt.
Zainab Chaula (wapili kulia).
Baadhi ya washiriki wa mkutano baina ya USAID na TAMISEMI uliofanyika katika
ofisi za TAMISEMI jijini Dar es Salaam wakifuatilia hoja kutoka kwa wasilishaji wa
mada leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Andrew Komba akichangia mada wakati wa
mkutano baina ya TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na motto leo jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
George Simbachawene akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na
Maendeleo la Marekani (USAID) nchini Tanzania Tim Donnay mara baada ya kumaliza
mkutano kuhusu Afya ya Mama na Mtoto leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa mkutano baina ya
TAMISEMI na USAID kuhusu Afya ya mama na mtoto leo jijini Dar es Salaam.Kutoka
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Misaada na Maendeleo la Marekani (USAID)
nchini Tanzania Tim Donnay, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam Theresia Mmbando.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...