UPDATES: Marehemu mpendwa wetu Eyshe Max amezikwa jana katika makaburi ya Geneva, mazishi yaliyohudhuriwa na watu wengi ikiwemo jumuiya ya Watanzania waishio huko, ndugu, jamaa na marafiki.
Marehemu Eyshe atakumbukwa daima kwa ucheshi na upendo wake na zaidi zaidi kwa ucha Mungu wake. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, na aifariji familia yake aliyoiacha nyuma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...