Rais
wa Afrika Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao Makuu
ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi kabla ya kuanza
mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
(AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza
mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam
Desalegn wakati akitoka kwenye mkutano wa AU mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...