Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere akionesha bango kabla ya kanza kwa matembezi ya Uzinduzi wa wiki ya Sheria Nchini leo jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali kabla ya kuanza kwa matembezi ya zinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini dar es salaam.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongoza Matembezi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini leo.Kushoto ni Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof.Sifuni Mchome.
Sehemu ya Watumishi wa Mahakama wakiwa kwenye Matembezi hayo.
Watumishi wa Mahakamaya watoto wakiwa kwenye Matembezi hayo.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akizungmza wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha zote na Lydia Churi wa Mahakama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...