Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MH,JPM NAPENDA KUKUELEZA YA MOYONI KWANGU KUWA SERIKALI YAKO HAIWAPENDI WAFANYA BIASHARA HUU NDIYO UKWELI,SISI WAFANYABIASHARA WA VIUMBE HAI SERIKALI YAKO IMETUFILISI NA KUTUTUMBUKIZA KWENYE LINDI LA UMASIKINI WA KUTISHA NA BILA SINTOFAHAMU YA KUJUA KWA NINI TUMEWAFANYIWA UKATILI HUU USIOJALI HATA HAKI ZA BINADAMU.WAZIRI WA MALIASILI AMEFUNGA BIASHARA BILA HATA KUJALI AU KUPATA USHAURI BILA HATA KUJALI HASARA TUNAYOKWENDA KUPATA NA BILA KUJALI KUWA TUMELIPIA LESENI,TUMEKATIA VIBALI,TUNA VIUMBE HAI KWENYE HOLDING GROUND ZETU,TUNA MIKOPO YA MABENKI,SACCOS NA ADVANCES ZA IMPORTERS WETU HUKO NJE.IMEFIKA MAHALI SASA HATA KULISHA HAWA VIUMBE WATU HAWAWEZI NA VIUMBE WAMEANZA KUFA KWA MFANO MTU HAWEZI KULISHA GHARAMA NI KUBWA HAWAWEZI TENA KULISHA KIASI CHA SHILINGI LAKI NANE KWA WIKI HUU NI UKATILI WA DHAHIRI KABISA JE SERIKALI HII NI RAFIKI WA WAFANYABIASHARA????????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...