SIMU.TV: Benki ya Dunia imeiahidi Tanzania kuharakisha baadhi ya miradi inayofadhiliwa na benki hiyo ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania ya viwanda; https://youtu.be/XxAUudPcRbs
SIMU.TV: Kampuni ya bia ya Serengeti SBL imewapatia watanzania zaidi ya milioni 2 maji safi na salama baada ya kuwachimbia visima 17 nchi nzima; https://youtu.be/49-RBXzouZo
SIMU.TV: Kijana Elisha Selvestre mwenye umri wa miaka 26 amepigwa na kujeruhiwa sehemu za siri na mwajiri wake raia wa China baada ya kunywa maji yake ya chupa; https://youtu.be/hwHEi5cFsC8
SIMU.TV: Kampuni ya TCCIA imeanza kuuza hisa zake katika soko la hisa Dar Es salaam DSE kwa kipindi cha wiki sita; https://youtu.be/2KXw6L0I8S0
SIMU.TV: Naibu waziri wa Fedha Dkt Ashantu Kijaji amewataka wahitimu nchini kuachana na fikra za kuajiriwa na badala yake wafikirie zaidi kujiajiri; https://youtu.be/Y1IaL8ZH8-s
SIMU.TV: Mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika mkoa wa Mbeya Angela Maganga ameisimamisha kazi bodi ya Madibila Saccos kwa ubadhirifu wa fedha; https://youtu.be/QXgaQQ0Bn1g
SIMU.TV: Maandalizi kuelekea mashindano maalumu ya Gofu yaliyoandaliwa na klabu ya jeshi ya Lugalo yamezidi kupamba moto baada ya timu alikwa kuanza kuwasili; https://youtu.be/PSAK5tZo8dk
SIMU.TV: Ligi kuu Tanzania bara inatarajia kuendelea tena wikiendi ijayo kwa kuzikutanisha timu za Simba na Azam Fc uwanja wa Uhuru jijini Dar Es salaam; https://youtu.be/O1whY0ncw0U
SIMU.TV: Bondia Mwankemwa anatarajia kupanda ulingoni February 5 mwaka huu kumkabili Ramadhani Shauri kuwania ubingwa wa Afrika mashariki; https://youtu.be/y9idZbZkoYQ
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...