Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati )
alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Tamasha la Tatu (3) la
Biashara Zanzibar katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum
Ali , na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Bakari
Hassan Bakari (kushoto),
Baadhi ya Watendaji na wageni mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali ,(kulia) alipo
kuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati ) kufungua Tamasha la Tatu (3) la Biashara Zanzibar katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo
ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wafanyakazi kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi waliohudhuria katika Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo baada kufungua rasmi maonesho hayo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,.
Kikundi cha wasanii wa ngoma ya kibati wakiburudisha kwa Viongozi na Wananchi wakati wa Ufunguzi wa maonesho ya Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...