Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara Zanzibar Januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la Maisara, Zanzibar, Januari 10, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipomtembelea nyumbani kwake ENEO LA Maisara Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiongozana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume kutoka ndani wakati walipomtembelea mama huyo nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibara, Januari 10, 2017.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...