WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU

UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI .


Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unawakaribisha walioorodheshwa hapo chini kufika katika ofisi za OSHA zilizopo Kinondoni Manyanya karibu na mahakama kati ya tarehe 26 na 27 Januari ili waweze kupewa majibu yao. Tangazo hili linawahusu waliopimwa Muhimbili tu. Waliopimwa Bugando wanaombwa kusubiri tangazo jingine.




Imetolewa na:
MTENDAJI MKUU
WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI (OSHA)
S.L.P 519, MAHAKAMA ROAD KINONDONI
DAR ES SALAAM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...