Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala, Christian Kaoneka pamoja na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha
mita ya Maji chakavu ya mteja kutoka maneneo ya Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam ikiwa ni katika
mwendelezo wa Zoezi la ubadilishaji wa mita za Maji chakavu zote kwa jiji la Dar es Salaam na Miji ya
Kibaha na Bagamoyo Mkoani wa Pwani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...