Washiriki wa Maadhimisho ya Ndani ya Mikaka 40 ya CCM yaliyoandaliwa na CCM mkoa wa Dodoma wakimpungia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVENTION CENTER) leo Februari 5, 2017
Mjumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma Dodoma convetion Center) , Februari 5, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Anne Kilango, Mbunge wa Kuteuliwa na Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela (katikati) katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM yaliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVETION CENTER) Februari 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...