Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez akiotesha miti katika eneo hilo la nusu maili lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez akimwagia maji miti aliyootesha katika eneo hilo.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez na wageni wengine wakitizama mnara wa kumbukumbu uliowekwa katika eneo hilo baada ya kufanyika kwa shughuli za uoteshaji miti 1510 mwaka 2015.
Kaimu Mwenyekiti wa Shirika lisilo la Kiserikali la kuhifadhi Mazingira (TEACA) Adoncome Mcharo akitoa taarifa fupi ya ukuaji wa miti iliyooteshwa katika eneo na nusu maili ,Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro kwa Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez na ujumbe wake (hawapo pichani).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...