Jengo Jipya la Bodi ya Mfuko wa Barabara
lililopo mjini Dodoma ambako Idara ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
imetoa ushauri wa kihandisi katika usimikaji wa mifumo ya TEHAMA, Umeme,
Viyoyozi, lifti na Kangavuke.
Jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma, ambako Idara ya Ushauri ya Wakala
wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imetoa ushauri wa kihandisi pamoja na kufanya usimikaji
wa mifumo ya TEHAMA, Umeme na Viyoyozi.
Mafundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
wakifanya kazi ya kusimika mifumo ya TEHAMA katika jengo jipya la Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma.
Fundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
akifanya kazi ya kusimika mifumo ya umeme katika jengo jipya la Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma.
Fundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
akifanya kazi ya kufunga taa katika jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma.
Picha na Theresia Mwami – TEMESA







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...