Mkuu wa Wilaya ya Njombe (wa kwanza kushoto) Ruth Msafiri akipata maelezo ya shughuli za ujasiriamali zinazofanywa na wanawake wa kikundi cha Upendo katika maadhimisho ya siku ya wanawake Njombe.
Afisa Ustawi wa jamii Halmashauri ya Mji Njombe Veronika akitoa elimu juu ya ukatili wa kijinsi na ulinzi na usalama wa mtoto kwa wanawake waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo.
Miongoni mwa washiriki wa maonesho akijipatia mahitaji kwa mojawapo ya kikundi cha ujasiriamali cha wanawake.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe akikabidhi mahitaji mbalimbali kwa mzee asiyejiweza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake.
Watoto wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wageni waalikwa mara baada ya kupokea zawadi zao kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Njombe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...