Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC), Bw. Sosthenes Sambua (katikakati) akizungumzia awamu ya pili ya program ya VIA Jiandalie Ajira ambayo imetangaza fursa za mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 24 kwa manispaa ya Mtwara, Mikindani, Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma na Kibaha mkoani Pwani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Rais na Kujitegemea (PTF), Bi.Haigath Kitala na kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC), Bw. Sosthenes Sambua (wa pili kutoka kulia) akizungumzia awamu ya pili ya program ya VIA Jiandalie Ajira ambayo imetangaza fursa za mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 24 kwa manispaa za Mtwara, Mikindani, Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma na Kibaha mkoani Pwani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Rais na Kujitegemea (PTF), Bi.Haigath Kitala, wa pili kutoka kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, na kushoto ni Bi. Zahra Mahmoud,Meneja Biashara wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Wakulima (TCCIA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hii kitu mnu anapata wapi info zaidi, mkimpa Michu hizi info zenu toeni na details ili wasomaji wapate faida zaidi sio kufurahia tu kuwa picha zimekuwa posted. Niko interested in getting more info about this

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...