Mkuu wa
Mafunzo, Uongozi na Usimamizi wa Talanta wa Benki ya Barclays Tanzania,
Veronica Muumba (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya benki hiyo, Fatma Karume
(wa pili kulia), wakikata keki kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika
hafla waliyoiandaa jijini Dar es Salaam jana. Wanaongalia kutoka kushoto ni baadhi
ya maofisa wa benki hiyo, Elizabeth Willilo, Faith Majiwa, Flavian Siweya na
Mkurugenzi Mtendaji wa Barclays Tanzania, Abdi Mohamed.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania wakifurahia keki kuadhimisha siku ya
wanawake jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania Abdi Mohamed akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Benki ya Barclays Tanzania wakipozi kwa picha ya kumbukumbu katika hafla hiyo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...