Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia Mwenyekiti wa Kamati ya
Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
Mhe.Mohamed Ramia wakiangalia picha ya zamani wakati Dk.Shein alivyokuwa
akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya Lumumba picha hiyo
iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
(katikati) wakiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja
Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mzee Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akitangaza mchango wake wa Milioni
moja kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein alipokuwa akitangaza mchango wa Millioni nane kwa niaba
ya familia yake kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa mgeni rasmi katika hafla
ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Picha ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipiga mpira
wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya Vyuo Vikuu ikinadisha wakati wa
hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za
Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Viongozi na Wafanyabiashara mbali
mbali wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja wakiwa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...