Gari aina ya Toyota DYNA lenye namba za usajili 2330GX limepata ajali leo eneo la Kiuvyu katika barabara iendayo Chake Chake, Pemba, na kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo watu watatu wamejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali ya Mkoani kwa matibabu. Chanzo cha ajali na majina ya majeruhi havikuweza kupatikana mara moja.
Home
Unlabelled
Ajali chakechake, Pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...