Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Awadhi Haji (gwanda la kijani) amendelea kutoa elimu kwa madereva wa bodaboda pamoja na abiria ambao wamevunja sheria za makosa ya usalama barabarani ikiwemo kutokuvaa kofia ngumu,bkupita taa nyekundu,bkupakia abiria zaidi ya mmoja na kadhalika. Watuhumiwa wamekamatwa sehemu mbalimbali wilayani Temeke katika msako mkali unaoendelea katika mkoa wa Dar es salaam.
Watuhumiwa waliokamatwa sehemu mbalimbali wilayani Temeke katika msako mkali unaoendelea katika mkoa wa Dar es salaam wakimsikiliza Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Awadhi Haji
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...