Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akikabidhi boksi la maziwa ya unga na baadhi ya vitu vya michezo ya watoto kwa mkuu wa gereza la Segerea Kamishna Msaidizi wa magereza Godfrey Kavishe kulia ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa wapili kushoto akikabidhi, Mashine za dawa ya kuulia wadudu kwa mkuu wa gereza la Segerea, Kamishna Msaidizi wa magereza, Godfrey Kavishe kulia ikiwa ni moja ya vitu vyenye thamani ya milioni nane (8,000,000) vilivyotolewa kwa wafungwa wanawake na watoto wa gereza hilo na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Katikati ni Mkaguzi msidizi wa magereza, Esther Mpotola, Mrakibu wa Magereza, Adeline Mgamtwa na Meneja Uhusiano wa Wawekezaji wa Benki hiyo, Hilda Rwanshane.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...