Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole-Gabriel akiongea na wadau wa masuala ya utamaduni toka baadhi ya nchi za Afrika Mashariki wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu unaohusu kujadili mambo ya utamaduni baina ya nchi hizo unaofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Cuthbert Kimambo akiongea na wadau wa masuala ya utamaduni toka baadhi ya nchi za Afrika Mashariki wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu unaohusu kujadili mambo ya utamaduni baina ya nchi hizo unaofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa masuala ya Utamaduni
unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Ukumbi wa Nkrumah
wakifuatilia hotuba toka kwa mgeni rasmi pamoja na Viongozi wengine wa Chuoni
hapo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu unaohusu kujadili mambo ya
utamaduni baina ya nchi za Afrika Mashariki.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole-Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu unaohusu kujadili mambo ya Utamaduni baina ya nchi za Afrika Mashariki unaofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT
LIWENGA-WHUSM)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...