* Niwakati
mwingine tena Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na watanzania wote kwa
ujumla promosheni mpya kabambe kabisa inayojulikana
kama Tusua Mapene. Promosheni hii itawawezesha wateja wetu na wananchi wote kwa
wale ambao watajiunga na mtandao wetu kushiriki katika bahati nasibu na
kujishindia vitita mbalimbali mpaka
kiasi cha shilingi milioni 150 ndani ya siku 150.
* Promosheni hii
inampa mteja wa vodacom fursa ya kushiriki kupitia ujumbe mfupi wa maneno, huduma
ya M-pesa au mitandao ya kijamii.
*Vodacom itatoa mshindi mmoja wa
Sh. 100M/-, washindi watano wa Sh. 20M/- na mshindi moja wa Sh. 15M/- KILA SIKU
na mshindi wa mwisho wa promosheni(Grand draw) atajishindia kitita cha shilingi
Million 150/-
*Jinsi yakushiriki katika promosheni hii ni rahisi sana mteja
anachotakiwa kufanya ni kutuma neno “CHECK” au “VODA” kupitia ujumbe mfupi wa
maneno kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu ikijumuisha kodi kwa
kila ujumbe.
Meneja
huduma za Ziada na Tehama wa Vodacom Tanzania,Mathew Kampambe(kushoto) na
Msimamizi wa michezo ya kubahatisha nchini,Abdallah
Hemed(kulia)wakimsikiliza Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina
Nkurlu(katikati)alipokuwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani) wakati wa Uzinduzi wa Promosheni mpya ya Tusua Mapene inayoendeshwa na
kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es salaam leo ambapo mkazi wa mkoa wa
singida Munira Jumanne alijishindia Tsh. Laki 5/- Ili Mteja wa Vodacom aweze kushiriki
kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno
“CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Meneja
huduma za Ziada na Tehama wa Vodacom Tanzania,Mathew Kampambe(kushoto) na
Msimamizi wa michezo ya kubahatisha
nchini,Abdallah Hemed(kulia)wakionyeshwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC,
Matina Nkurlu(katikati) namba ya simu ya mshindi aliejishindia Tsh. Laki 5/- Munira Jumanne
Mkazi wa Singida wakati wa Uzinduzi wa Promosheni mpya ya Tusua Mapene
inayoendeshwa na kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es salaam leo. Ili Mteja wa Vodacom aweze kushiriki
kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno
“CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...