Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John
Rugambo akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili
(2,000,000) kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole,
Bundala Maganga ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia ukarabati wa
madarasa ya shule
hiyo, leo Septemba 27, 2017. Wengine pichani ni Mwalimu Mkuu wa Shule
hiyo, Mariam Kinande (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda
wake wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole,Martin Madama.

Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili (2,000,000) kwa Wanafunzi, Kelvin James na Swaum Mohamed wa darasa la sita Shule ya Msingi Gezaulole, Kigamboni jijini Dar es salaam ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia ukarabati wa madarasa ya shule hiyo, leo Septemba 27, 2017.
Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John Rugambo akizungumza kabla ya kabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa madarasa ya shule hiyo, leo Septemba 27, 2017. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mariam Kinande na kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Kamati ya Shule ya Mshingi Gezaulole,Martin Madama.
Katibu wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John
Rugambo akizungumza na baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Gezaulole, iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Katibu
wa Benki ya CRDB na Mkurugenzi wa Maswala ya Kampuni, John
Rugambo akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na wanafunzi wa Shule ya
Msingi Gezaulole, iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...