Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double
road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.
Taarifa
kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza majira ya Saa 6: 47 za
mchana hata hivyo jeshi la zima moto kutoka Kiwanda cha TPC kwa
kushirikiana na jeshi la polisi wanaendelea na jitihada za kuzima moto
huo. Picha na Dixon Busagaga.
Sehemu askari Polisi na kikosi cha zimamoto pamoja na wananchi wakisaidiana kutafuta mbinu za kuudhibiti moto uliozuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...