Mkurugenzi
wa Halmshauri ya Manispaa ya Kinondoni,Aron Kagurumjuli (kulia)
akisaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara yenye thamani ya sh.
bilioni 49 na kampuni za ukandarasi za Estim Constructions Company
Limited ya hapa nchini na kampuni ya CCEC ya China.katikati ni Meya wa
Kinondoni,Benjamin Sitta
Picha ya pamoja.(picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii).
Mkurugenzi
wa Halmshauri ya Manispaa ya Kinondoni,Aron Kagurumjuli akizungumza
katika hafla ya utilianaji saini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara
yenye thamani ya sh. bilioni 49 na kampuni za ukandarasi za Estim
Constructions Company Limited ya hapa nchini na kampuni ya CCEC ya
China,leo jijini Dar es Salaam.
Meya
wa Kinondoni,Benjamin Sitta, akizungumza katika hafla ya utilianaji
saini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara yenye thamani ya sh.
bilioni 49 na kampuni za ukandarasi za Estim Constructions Company
Limited ya hapa nchini na kampuni ya CCEC ya China.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...